skip to main |
skip to sidebar
UDO-Dance Battle Zone
UDO East Africa inakuletea Dance Battle Zone, ndani ya Maisha
basement jumapili hii ya tarehe 7, fika ujiionee mpambano wa dance, wa kusaka
wakali wa dance watakao fuzu kushiriki shindano la dunia la UDO World Street
Dance Championships 2017 Glasgow Scotland. Shindano litazinduliwa na Prof. Jay
Kiingilio sh. 10,000 tu, pale Maisha Basement, Dar es Salaam. Dance Battle Zone
inaletwa kwa Ushirikiano wa UDO East Afrika, E-Masters, Haak Neel Production, Professor
J Foundation, Mwakoba & Associates, L-JAY Busy Bee na Robby One Fashions .
0 comments:
Post a Comment