ASYA NA WANAMITINDO WENGINE KUTIMUA VUMBI DALLAS TEXAS JUMAMOSI HII
Panapo majaliwa kama
tutafanikiwa kuiona siku ya Tarehe 6/8/2016 tambua kuwa Kwenye yale
mambo yetu ya Fashion Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin
kutoka Tanzania pamoja na wanamitindo wengine watatimua vumbu katika
onesho kubwa la Mitindo “Kenya Woman Reunion” linalo tarajia kufanyika
huko Dallas Texas. Kama wewe ni mmoja kati ya wadau wa Tasnia ya mitindo
endelea ku-Suport Mitindo ya Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment