Zoezi
zima la shooting lilifanyika jana jumapili,video imesimamiwa na
kampuni ya Boomba waliofanya She said dat ya Wyre,hii itakua single ya
pili kuwa released kutoka kwenye album mpya ya Cannibal ''The Chosen
One'' baada ya here I come aliyofanya na Wendy Kimani
Producers John B(Tanzania) na provoke(Kenya) wakifuatilia tukio kuhakikisha mambo yanakwenda sawa
0 comments:
Post a Comment